WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday 5 August 2009

TANZANIA YAENDELEA KUPAA KATIKA RANKI YA SOKA DUNIANI

Leo Tanzania Imepanda tena nafasi nne juu zaidi kutoka nafasi ya 97 hadi ya 93,
katika ranki hizo za Coca Cola World ranking zilizotolewa leo makao makuu ya Fifa yaliyopo Zurich nchini Switzaland ,Tanzania imeendea na faraja iliyoipata mechi yao na New Zealand miezi michache iliyopita, hivi sasa Tanzania ipo nyuma kwa nafasi moja kutoka kwa nchi ya Bara la Ulaya ya Iceland ambayo ipo katika nafasi ya 92 kwa ubora duniani,ambapo Sudan waandaaji wa kombe la Challenge mwaka huu wapo nafasi mbili juu ya Tanzania nafasi ya 91,
wapinzani wa Tanzania ambao watapambana na Stars hivi karibuni katika mechi ya kirafiki Rwanda ipo katika nafasi ya 177 huku wakichangia nafasi hio na Thailand,
Congo DR ipo nafasi ya 96,ambapo New Zealand wanashika nafasi ya 99, Angola Waandaaji wa Kombe la Mataifa ya Africa 2010 ambao pia walikuwa ni moja ya nchi zilizoliwakilisha Africa katika Kombe la Dunia mwaka 2006 zilizofanyika kule Ujerumani wao wapo katika nafasi ya 102,Kenya ipo katika 105 ,wakati Malawi wao wanashikilia kwenye nafasi ya 108,
kutokana na hali hio Tanzania inaendelea kupeta na kama itashinda mechi ya kirafiki kati yake na Rwanda hivi karibuni basi itakuwa inachupa kelekea katika nafasi za juu zaidi kisoka Duniani,
hakuna sababu Tanzania kutojiamini na kushinda mechi hio ya kirafiki ili iweze kujiandikia kitabu cha kuwa timu bora Africa na duniani.
kila la kheri Stars, kila la kheri Tanzania.
-------------------------------------------------------------------------------------------------