WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 17 September 2009

RIVALDO KUPAA LEO KWENDA NOTHERN IRELAND

Nyota wa kimataifa wa Mozambique Rivaldo anaondoka mjini Maputo leo kuelekea Belfast-Nother Ireland kucheza soka ya kulipwa, katika safari yake leo anaondoka Maputo-mozambique mchana kuelekea Johannesburg-South Africa ambapo usiku wa leo ataondoka Johannesburg kwa ndege ya shirika la ndege la British Aiways kuelekea London ambapo atawasili kesho asubuhi katika kiwanja cha ndege cha Heathrow-London na baadae kuunganisha ndege kuelekea mji wa Belfast-Nothern Ireland tayari kujiunga na timu yake ya Bangor F.C ya mji huo.

Rivaldo anakuwa ni mchezaji wa kwanza kupata nafasi kutoka kwa Oranje Football Academy ambao ni vijana wadogo wenye malengo makubwa kwaajili ya manufaa ya Taifa hapo baadae,
O.F.A ni kituo cha kukuza soka kwa vijana ambapo kimeanzishwa hivi karibuni lakini mbali ya kuanzishwa muda mfupi imeanza kufungua milango ambapo itaendelea kutoa nyota wengi kwenda kusakata soka vilabu mbali mbali nje.