WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 3 October 2009

MAZOEZI BADO KUANZA KWA ORANJE FOOTBALL ACADEMY

vijana wa ORANJE FOOTBAL ACADEMY wanaendelea na mapumziko tokea kuanza kwa mwezi wa ramadhani, katibu mkuu wa O.F.A Hussein alisema "kutokana na vijana wengi kukabiliwa na mitihani ya taifa itakayoanza tarehe 05-10-2009 hadi 23-10-2009 kwahio uongozi wa ORANJE FOOTBALL ACADEMY umetoa nafasi kwa vijana wake kujiandaa kimasomo ili waweze kufanya vizuri katika mitihani yao".

ORANJE FOOTBALL ACADEMY INAWATAKIA KUFANYA VIZURI VIJANA WAKE WOTE WANAOKABILIWA NA MITIHANI YA TAIFA PAMOJA NA KUFAULU KATIKA MASOMO YAO.
-------------------------------------------------------------------------------------------------