WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 30 January 2010

Nyota wa kimataifa Rivaldo pichani akiendelea kuwanyanyasa mabeki mbambali wa vilabu pinzani, Rivaldo hivi sasa ni mfungaji wa kawaida katika klabu yake na kumfanya awe ni kipenzi cha klabu hio .vilabu mbambali vinamuwania kujiunga navyo. siku chache zilizopita kulikuwa na mvutano mkubwa kati ya timu yake ya Bangor F.C na timu ya Lisbun klabu ya Primier League ya Nothern Areland ambayo walifanya mazunguzo na Rivaldo ya kujaribu kumrubuni kujiunga na klabu yao hali iliyopelekea mzuzo kati ya viongozi wa klabu yake ya Bangor na Lisbun ambapo hivi sasa Klabu ya Bangor F.C imeitaka Lisbun kulipa faini kutokana na kitendo chao cha kujaribu kumchukua mchezaji wao bila ya kukaa kuzungumza na viongozi wa wao.hivi sasa uongozi wa ORANJE FOOTBALL ACADEMY umeandaa maongezi na klabu ya Bangor F.C ambapo lengo ni kumruhusu Rivaldo ajiunge na Lisbun na nafasi yake itazibwa na mshambuliaji nyota chipukizi wa Tanzania ambae jina litatajwa baada ya maongezi hayo kukamilika siku chache zijazo.

.........................................................................................................................................................................