WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 27 March 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY 4-1 SIMBA KIDS

Watoto wa Oranje Football Academy U/14 leo wameendeleza tena kutembeza kipigo kwa kuitwanga timu ya Simba Kids jumla ya mabao 4-1 katika mechi iliyokwisha hivi punde katika kiwanja cha Mao-Tse-Tung B,
mabao ya watoto hao machachari wenye kucheza soka ya kufundishwa yalifungwa na Ali Adam mara 3 na Moh'd Omar bao moja.
hongera kwa vijana hao wadogo kwa kiwango wanachozidi kukionyesha katika ligi hio ya watoto walio na umri chini ya miaka 14.
vijana hawa wa U/14 ni hazina kubwa ambayo Oranje Football Academy inajivunia na kutarajia kupandisha nyota wake hao wadogo katika timu A ya wakubwa kila msimu.
kwa matokeo hayo ya leo U/14 wa O.F.A wanaongoza ligi kwa kushinda mechi 6,kopoteza i na sare moja hivyo kujikusanyia point 19.
nafasi pili inafatiliwa na timu yenye point 18 na timu 3 zinashika nafasi ya 3 huku zikipishana kwa idadi ya magoli ya kufunga na kufungwa zote zikiwa na point 17.
huku zikiwa bado mechi 3 za kukamilisha mzunguko huo wa makundi hadi hivi sana vijana wadogo wa O.F.A wako katika nafasi kubwa ya kusonga mbele katika hatua ya fainali ya ligi hio ya watoto walio chini ya umri wa miaka 14 msimu huu wa 2010.
.........................................................................................................................................................................