WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 3 April 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY YATINGA HATUA YA PLAY-OFF

Oranje Football Academy U-19 jana waliweza kukamilisha mechi yao ya mwisho ya Kundi A kwa ushindi wa mabao 2-0 baada ya kuichapa timu ya Ivory Coast na kuifanya O.F.A kushika nafasi ya kwanza katika kundi lake katika mfulululizo wa ligi ya vijana inayoendelea msimu huu 2010.
mabao yote mawili ya vijana hao wa O.F.A yalipachikwa kimiani na Yussuf Abdalla.
................

Katika mechi nyingine ya ligi ya vijana U-14 iliyofanyika leo watoto wa Oranje Football Academy imeweza kuendeleza kuzichachafya timu za vijana baada ya leo kuiua timu ya Black Lion jumla ya mabao 2-0 mabao ambayo yalifungwa na Moh'd Omar.
kwa matokeo hayo Vijana hao chipukizi wanaendelea kuongoza ligi hio huku ikiwa imebakiza mechi mbili kukamilisha hatua ya makundi.
..............................................................................................................................................................................