WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 24 April 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY U/14 YASHINDA 3-1 HULL CITY

Vijana wa Oranje Football Academy U/14 leo wameichapa timu ya Hull City jumla ya mbao 3-1 katika mechi ya kuwania kombe la Knock-out kwa vijana wenye umri wa miaka 14.
katika mechi kali na yenye ushindani Vijana wa O.F.A waliweza kucheza soka ya kuelewana na kuweza kutawala mechi hio ambapo mabao ya O.F.A yaliwekwa kimiani na Ali Adam mabao 2 na Abdulhamid Ali bao 1 hadi mwisho wa mchezo O.F.A 3-1 Hull City.
.........................

Wakati huohuo ile mechi ya kesho ya U/17 ya O.F.A dhidi ya Mkunazini f.c kombe la knock-out haitokuwepo tena kutokana na kuahirishwa kwa mechi hio ya kesho vijana wa O.F.A watakuwa na mapumziko kesho na jumatatu vijana U/14 na U/17 wote watakuwa na mazoezi kama kawaida.
..............................................................................................................................................................................