WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 31 May 2010

BAADHI YA VIFAA VYA ORANJE FOOTBALL ACADEMY

..........................................................................................................................................................
............................................................................................................................................................
...................................................................................................................................................
...............................................................................................................................................................
vifaa vya Oranje Football Academy ambavyo vinatarajiwa kufika nchini hivi karibuni, tunatarajia karibuni kituo hicho cha kukuza soka nchini kitaanza kuvaa vifaa vya rangi za Oranje,
katika mipango iliyooandaliwa na viongozi wa Uwaki/Orangi kutakuwa na video camera itakayochukua mechi zote za chipukizi hao ili uweza kuwapatia nafasi ya kuonekanwa kwa vitendo wakati wa kuwafatilia kuwatafutia timu nje.
kila mechi pamoja na mazoezi maalum yatakayoandaliwa na kuchukuliwa video hizo vitakusanya vitendo vya kila mchezaji na kumjua skills zake na kupelekea urahisi kwa vilabu kuwapatia wachezaji wetu ambao watataka wawe na skills za aina gani. na kujua ni nani mwenye skills hizo.
imeonekana na wataalam wetu wachezaji kwa kutumia Video inamfanya mchezaji kuonekanwa vizuri kuliko kumsimulia kwa maneno kama vile ambavyo nchi zilizoendelea kisoka zinachukua mechi zao kwa video kuanzia ngazi za vijana hadi kwa timu za wakubwa.
pia itasaidia makocha wetu kuweza kuwatoa makosa chipukizi hao katika Tv baada ya mechi ambapo wataweza kuonyeshwa mechi yao nzima na kila mchezaji kujiona jinsi alivyocheza na alivyotakiwa kucheza.
Lengo ni kila mchezaji kuwa na profile (CV)yake ikiandamana na Video ya vitendo vyake akiwa kiwanjani ili kurahisha kuwapatia timu nje.
...................................................................................................................................................................