WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 2 June 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY U/14 YAFUNGWA 1-0 U/17 YASHINDA 1-0

Watoto wa Oranje Football Academy U/14 leo wamefungwa na timu ya vijana ya Arizona f.c bao 1-0 katika pambano kali na la kuvutia ambapo kutokana na matokeo hayo watoto hao wa O.F.A watahitajika kushinda katika mechi yao ya mwishi ili kuweza kuingia katika hatua ya mwisho ya kumpata bingwa wa ligi ya vijana wa U/14 msimu huu wa 2010.

.....................

Katika pambano jingine la wakubwa zao wa U/17 leo waliendelea kuonyesha ubabe wao baada ya kushinda bao 1-0 dhidi ya Syria.

Mfungaji wa bao hilo kiungo wa kutumainiwa Mudathir Yahya ambae amerudi katika hali yake ya kawaida baada ya kulazwa hospitali wiki iliyopita na kumfanya kukosa mechi dhidi ya Kipago f.c
Kutokana na matokeo hayo yamefanya U/17 kuingia katika hatua ya mwisho ya kumpata bingwa wa ligi wa msimu huu.

Mbali na kuingia katika hatua ya mwisho ya mashindano hayo ya ligi ya vijana chini ya umri wa miaka 17 vijana hao wa Oranje Football academy kutokana na ushindi huo wa leo wameweza kuandika historia baada ya kucheza mechi 17,kupoteza mechi 1,sare 1,na kushinda 15.
....................................................................................................................................................................