WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday 18 May 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY U/14 NA U/17 ZAINGIA NUSU FAINALI

Oranje football academu U/14 jumamosi iliyopita waliweza kuwatowa nje ya mashindano ya knock-out mabingwa wa kombe hilo msimu uliopita 2009 Calypso katika mechi kali ambayo iliamuliwa kwa njia ya penalti baada ya kutoka sare 0-0.

wafungaji wa Penalti O.F.A U/14

1) Moh'd Omar ( kapoteza)

2) Fahad Adam

3) Yussuf Jafar (kapoteza)

4) Idrisa Seif

5) Msahab Sleiman

6) Farid Sleiman

7) Salum Hassan

kutokana na ushindi huo wa Penalti Oranje Football Academy imeingia nusu fainali ambapo ratiba itatolewa hapo baadae.

...........................

Wakati U/14 waliingia nusu fainali siku ua jumamosi iliyopita wakubwa zao U/17 walijitupa kiwanjani siku ya jumapili ambapo pia waliweza kushinda baada ya kuipiga Kipigo F.C kwa penalti kutokana na kumalizika pambano hilo mabao yakiwa 1-1.

kwa ushindi huo pia U/17 imeweza kuingia nusu fainali ya mashindano hayo msimu huu 2010
wafungaji wa Penalti wa O.F.A

1) Nassir Issa

2) Yussuf Abdalla

3) Seif Abdalla

4) Mudathir Yahya

5) Nassir Moh'd

O.F.A walipoteza penalti 1 na Kipigo kupoteza 2.

U/17 sasa itapambana na New Generation katika nusu fainali ambapo tarehe itatangazwa hapo baadae.

mashindano hayo ya Knock-out yatasimama kwa muda ambapo mwishoni mwa wiki hii LIGI ya U/17 itaanza ambapo kutakuwa na makundi 2

kwa upande wa kundi la O.F.A litakuwa na

1) Oranje Football Academy

2) Kipigo f.c

3) Syria

4) Shangani f.c

5) Ivory Coast

6) Zanaco

ratiba kamili itafatia baadae.
.........................................................................................................................................................................