WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 9 May 2010

U/14 ORANJE FOOTBALL ACADEMY YATINGA ROBO FAINALI

Watoto wa Oranje Football Academy U/14 leo wamewafata kaka zao wa U/17 kwa kuingia robo fainali ya mashindano ya kombe la knock-out msimu huu wa 2010 kwa vijana chini ya umri wa miaka 14 baada ya kuifunga timu ya Villa Real bao 1-0.

Katika pambano hilo la leo vijana hao waliweza kucheza soka safi na kupoteza nafasi nyingi za kuweza kuibuka na ushindi mnono katika pambano lililofanyika katika kiwanja cha Mchangani Malindi.

Mshambuliaji hatari Moh'd Omar aliweza kuipeleka O.F.A katika robo fainali pale alipopachika bao muhimu ambalo lilitosha kuisukuma O.F.A katika robo fainal ambapo j/mosi 15-05-2010 watajitupa katika kianja cha Mao Tse Tung B saa 8 mchana kupambana na vijana wa Calypso f.c.

....................
Wakati huohuo ratiba kwa upande wa U/17 iliyotolewa leo inaonyesha Oranje Football Academy U/17 watakuwepo katika kiwanja cha Mao Tse Tung A siku hiohio kupambana na Kipigo F.C katika pambano la robo fainali
.........................................................................................................................................................................