WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 9 May 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY U/14 PIA WATINGA ROBO FAINALI

Watoto wa Oranje Football Academy U/14 leo wametinga robo fainali ya mashindano ya knock-out baada ya kifunga timu ya Villa Real kwa bao moja bila majibu.

katika mechi ilyokuwa na ushindani mkubwa uliyochezwa katika kiwanja cha Mchangani Malindi watoto wa O.F.A walionyesha soka safi ambapo mfungaji wa bao la ushindi "match winner"alikuwa na Moh'd Omar robo fainali itafanyika siku ya j/mosi tarehe 15-05-2010 kwa kupambana na Calypso F.C saa 8 mchana katika kiwanja cha Mao B.U/17 wa O.F.A itapambana na Kipigo F.c katika kiwanja cha Mao Tse Tung A katika pambano jingine la Robo Fainali kwa U/14.

............................................................................................................................................................................