Oranje Football Academy U/14 leo wameshinda jumla ya mabao 2-1 dhidi ya Aston Villa katika mechi ya ligi iliyofanyika katika kiwanja cha Mao Tse Tung.
mabao ya watoto hao wa O.F.A wenye sifa ya kutandaza soka la kisasa yalipachikwa kimiani na mshambuliaji hatari Moh'd Omar,
Mechi inayofata ya U/14 itafanyika siku ya jumatano 26-05-2010 katika kiwanja cha Mao Tse Tung.
.............................................................................................................................................................................
Executive Board begins with a focus on the new UNICEF Strategic Plan,
2018–2021
-
NEW YORK, United States of America, 7 February 2018 – The UNICEF Executive
Board opened its first regular session yesterday, welcoming its new
President fo...
6 years ago