WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 23 May 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY U/17 2-2 IVORY COAST

Oranje Football Academy U/17 leo imetoka sare kwa kufungana mabao 2-2 na Ivory Coast katika mechi ya mwanzo ya ligi hatua ya makundi iliofanyika katika kiwanja cha Mao Tse Tung.

Mabao ya vijana wa Oranje Football Academy yalifungwa na Iddi Juma na Mudathir Yahya.
U/17 watajitupa tena kiwanjani siku ya jumatano kama ambavyo ratiba inavyojieleza hapo chini.
.............................................................................................................................................................................