WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday 6 June 2010

COPA COCA COLA TANZANIA 11-O MALAWI

Timu ya Tifa ya Vijana ya U/17 jana asubuhi iliichakaza timu ya Taifa ya vijana ya Malawi kwa jumla ya mabao 11-0 katika mashindano ya copa coca cola yanayofanyika nchini South Africa.

hadi kumalizika kwa kipindi cha kwanza vijana wa Tanzania walikuwa wakiongoza kwa mabao 3-0.
kipindi cha pili kilikuwa na mvua ya magoli baada ya vijana hao kucharuka na kutumbukiza mabao mengine 8 na huku kutoruhusu goli lolole katika wavu wake.

maba ya vijana hao waliwekwa kimiani na Thomas Ulimwengu aliepachika mabao matatu, huku wachezaji wanne waliweka mabao mawili kila mmoja ambao ni Ibrahim Rajab,Issa Rashid,Hamid Mao,Jarome Lambele.

mechi nyingine ya vijana hao wa Taifa ya U/17 ilitarajiwa kuwa dhidi ya Namibia
............................................................................................................................................................


Wakati huohuo timu ya Taifa Stars imeyaaga mashindano ya CHAN 2011 baada ya kufungwa bao 1-0 na timu ya taifa ya Rwanda .

kutokana na matokeo ya mechi ya kwanza iliyofanyika mjini Dar es salaam 1-1 imeifanya Rwanda kusonga mbele kwa jumla ya mabao 2-1.

Kesho Taifa Stars watajitupa katika Uwanja wa Taifa kupambana na Brasil katika mechi ya kirafiki.