WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 1 September 2010

ORANJE FOOTBALL ACADEMY KUFUTARI PAMOJA SIKU YA JUMAPILI

VIJANA WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY WAKIWA KATIKA FUTARI ILIYOANDALIWA KWAAJILI YAO HAPO MWAKA JANA 2009.
.................................................................................................................

VIJANA WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY ITAKUWA NA FUTARI YA PAMOJA SIKU YA JUMAPILI TAREHE 05-09-2010.

KAMA KAWAIDA YA KITUO HICHO CHA KUKUZA SOKA KWA VIJANA NCHINI HUWA INAFANYA HIVYO KILA MWAKA.

KWA NIABA YA UONGOZI WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY INAWATAKIA VIJANA WAKE KUENDELEA NA RAMADHANI NJEMA. HIVI SASA MAZOEZI YA VIJANA HAO WA O.F.A YAMESIMAMISHWA KUUPISA MFUNGO HUO WA MWEZI WA RAMADHANI.
.............................................................................................