WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 9 January 2011

RIVALDO AWASILI NCHINI HOLLAND KWA MAJARIBIO.

........................................................................................................................................
.........................................................................................................................................
Nyota wa Kimataifa wa Timu ya Taifa ya Mozambique mwenye asili ya Kitanzania "Rivaldo"yupo nchini Holland kwa majaribio na timu kadhaa za huko.
Nyota huyo wa kimataifa yupo nchini Holland kwa kuunganishiwa na Viongozi wa kituu cha kukuza soka kwa vijana cha Oranje Football Academy ya Zanzibar.
Nyota huyo ambae msimu uliopita alichezea timu ya Bagor Fc ya mji wa Belfast nchini Nothern Ireland ambapo amemaliza mkataba na timu hio hivyo akiwa kama Balozi wa kimataifa katika soka wa Oranje Football Academy amepatiwa nafasi hio ili kuweza kufungua milango ya kutoa nafasi kwa nyota wengine wa academy hio.
Katika mipango mizuri ya maendeleo ya soka kwa vijana nchini kwa viongozi hao wa O.F.A kwanza wanataka kuhakikisha nafasi ya mwanzo ya kuiwakilisha academy hio kimataifa inawakilishwa na mchezaji ambae atakuwa na nafasi kubwa ya kufungua milango kwa nyota wengine ili kuweza kuipatia jina zuri Oranje Football Academy kimataifa.
.............................................................................................................................