WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 25 April 2011

MVUA YAVUNJA PAMBANO U16

Mvu kubwa zinazoendelea kunyesha nchini jana zilisababisha kutofanyika kwa pambano kati ya Oranje Football Academy U16 dhidi ya Azam Znz pambano ambalo lilikuwa lifanyike katika kiwanja cha Mafunzo Ziwani,pambano hilo sasa litachezwa katika tarehe ambayo itatolewa hapo baadae.

--------
Kutokana na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha nchini Vijana wa U20 wakisumbuliwa na maji yaliyokuwepo kiwanjani waliweza kutoka suluhu 0-0 dhidi ya timu ya Idumu katika pambano lisilokuwa na msisimko wowote kutokana na hali mbaya ya kiwanja, hali ambayo iliwanyima vijana hao wa U20 kutandandaza soka kama kawaida hivyo hadi mwisho wa pambano hilo matokeo yalikuwa 0-0.