WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 9 May 2011

AL AHLY 2-0 ZESCO CL

National Al Ahly ya misri jana iliifunga timu nguvu ya Zesco ya zambia bao 1-0 na kusonga mbele kwa bao hilo.
Timu hizo zilitoka suluhu 0-0 katika pambano lako la kwanza nchini Zambia hivyo kutokana na ushindi huo wa al ahli inaifanya zesco kuyaaga mashindano hao.

Bao la Al Ahli lilifungwa na Hohamed Barakat katika dakika ya 66' lilitosha kuisongeza miamba hio ya soka barani afrika katika hatua ya makundi.

Enyimba ya Nigeria ilisonga mbele baada ya kuifunga Ittihad ya Libya bao 1-0 katika pambano ambalo halikuwa na marejeano kutokana na kuhairisha kwa pambano la awali nchini Libya kutokana na mchafuko wa kiasi nchini humo.

Nayo Timu ya Esperance ya Tunisia iliikandamiza Djarraf Senegal jumla ya mabao 6-0 na kukamilisha idadi ya timu zitakazocheza hatua ya makundi.
Katika pambano la Awali Esperance iliitungua timu hio ya Djarraf bao 1-0 nyumbani kwao kabla ya kutoa kichapo hicho cha mabao 6-0.