WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 16 May 2011

BOCA JUNIORS YAICHAPA RIVER PLATE 2-0

Timu ya Nahodha wa zamani wa Argentina Diego Maradona Boca Juniors imewachapa mahasimu wao wakubwa River Plate jumla ya mabo 2-0 katika mpambano mkali katika ligi ya Argentine.
katika pambano hilo lililokuwana mashambulizi makali kwa pande zote liliwafanya mashabiki kutokaa katika viti vyao kwa mwingi wa pambano hilo kutokana na mashambulizi ya kila upande.
ilikuwa ni Boca Juniors waliokuwa wakichezea uanja wa nyumbani waliotingisha nyavu za wapinzani wao wakubwa katik dakika ya 27' wakati Carrizo alipojifunga mwenyewe katika harakati za kuokoa,bao hilo lilileta kujichanganya kidogo kwa wachezaji wa River Plate ambao wapinzani wao walitumia mwanya huo kupachika bao la pili la haraka kupitia kwa Palermo katika dakika ya 30'.
baada ya kuingia bao hilo River Plate ilijipanga vizuri kutaka kurejesha mabao hayo lakini ilikuwa ni vigumu sana kutokana na Boca Juniors kuendelea kucheza soka la uhakika huku wakipungua mashambulizi na kuhakikisha hawatoi nafasi katika ukuta wao ambao leo ulionekana kuwa mgumu zaidi kuliko kawaida.
Hadi mwisho wa pambano hilo Boca Juniors 2-0 River Plate.