WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 6 May 2011

F.C PORTO NA SPORTING BRAGA ZATINGA FAINALI YA EUFA

Timu za F.c Porto na Sporting Braga zote kutoka Portugal zimetinga fainali ya kombe la Ueroper League baada ya Braga kuifunga Benfica pia ya Portugal jumla ya bao 1-0 katika pmbano la marejeano ambapo pambano la awali Benfica ilishinda jumla ya mabao 2-1 hivyo kuifanya Braga kunufaika na bao la ugenini baada ya zote kufungana mabao 2-2 katika mechi zote mbili.


F.c Porto ambao pamoja na kufungwa na Villareal ya Spain jumla ya mabao 3-2 iliweza kutosha kuingia fainali baada ya kuichapa villareal jumla ya mabao 5-1 katika pambano lao la awali lililofanyika nchini portugal hivi karibuni.