WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 21 May 2011

LILLE YANYAKUA UBINGWA WA UFARANSA

Timu ya Lille ya ufaransa imetwaa ubingwa wa nchi hio baada ya kutoka sare na timu ya Paris Saint Germain kwa kufungana mabao 2-2.
sare hio ilitosha kwa Lille kutwaa ubingwa huo kutokana na Olympic Marseille timu iliyokuwa karibu kuifukuzia Lille pia kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Valenciannes.

Mabao ya Lille yalifungwa na Obraniac katika dakika ya 5' na Mussa Sow 59', wakati mabao ya PSG yalifungwa na Howarau 45'na Bodmer 73'.
Kocha wa timu ya PSG Antoine Kombouare alitolewa nje na mwamuzi wa pambano hilo baada ya kutoa lugha chafu kwa mwamuzi wa hakiba.
matokeo mengine ya ligi ya ufaransa ni kama hivi

Auxerre 0-1 Stade Brest
Rc Lens 0-1 Ac Arles-Avignon
Olympic Lyon 0-0 Caen
Olympic Marseille 2-2 Valenciennes
Montpellier 0-1 As Monaco
OGC Nice 2-0 Fc Lorient
Rennes 0-2 As Nancy
Fc Sochaux 2-1 Saint-Etienne
Tourlouse 2-0 Bordeaux.