WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 24 May 2011

RAJA CASABLANCA MABINGWA MOROCCO

Raja Casablanca imetwaa ubingwa wa nchini Morocco baada ya kuifunga timu ya Olympic Khourigba mabao 2-1 huku ikibakiwa na mechi moja mokononi.
Raja imeweza kumaliza ndoto za wapinzani wao wakubwa Wydad za kutwaa ubingwa wa msimu huu.Timu zote mbili zipo katika jiji la Casablanca ambapo Raja itaingia uwanjani kumaliza ligi hio ikiwa na point 6 mbele ya mahasimu wao Wydad.