WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday 22 May 2011

SANTOS YATOKA SARE NA INTERNATIONAL

(Wachezaji wa Flamingo wakipongezana moja kati ya mabao 4 waliyopachika wiki hii)



Santos ya Brasil jana ilitoka sare kwa kufungana bao 1-1 katika ligi ya soka ya Brasil.
santos ambayo inayopewa nafasi kuba ya kutwaa ubingwa wa Brasil msimu huu hasa kutoka na kuwa na nyota wawili wenye majina makubwa kuliko wote nchini Brasil kwa sasa mshambuliaji Neymar na kiungo Ganso ambao wanwaniwa na timu zote kubwa za barani ulaya hawakuweza kuutumia vizuri uwanja wa nyumbani dhidi ya miamba mingine ya soka nchini humu Intenational.
bao la Santos lilifungwa na Keirrison katika dakika ya 28' wakati Zé Roberto aliisawazishia International katika dakika ya 35'.

mechi nyingine za jana ligi ya Brasili ni kama hivi.
Flamingo 4-0 Avai
Céara 1-3 Vasco da Gama
Atlético-MG 3-0 Atlético-PR.

Katika mapambano mengine makali ya wiki hii ambayo yatachezwa baada leo ni kati ya
Fluminense vs Sáo Paulo.
Palmeiras vs Botafogo -(ambao wako katika hatua nzuri kumnasa kiungo kutoka holland na
Ac Milan Clarence Seedorf.