WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday 9 May 2011

STARS V/S BAFANA BAFANA SASA KUCHEZWA JUMAMOSI HII

Chama cha soka cha Africa ya Kusini kimetangazwa kuwa pambano lao dhidi ya Tanzania litafanyika kama tarehe ya mwanzo ilivyopangwa 14-05-2011.

Kwa mujibu wa habari ziliotangazwa leo Mfungaji wa bao la Kwanza katika mashindano ya Kombe la Dunia katika Ardhi ya Africa Tshabalala ndie atakaekuwa Nahodha wa Africa Kusini pambano litakalochezwa saa 1 usiku katika uwanja wa taifa Dar es Saalm.

Akitangaza kikosi chake kitakacho ivaa Stars jumamosi kocha Pitso Masimane alisema mechi hio ni muhimu sana kwao kuweza kuwapa matayarisho mazuri ambayo yatawasaidia kabla ya kukutana na Misri katika wiki ya mwanzo ya mwezi ujao.

Wachezaji wa Africa Kusini watakaokuo pambana na Stars ni kama ifatavyo:

makipa: Itumeleng Khune na Wayne Sandilands.

Mabeki: Morgan Gould,Siyanda Xulu,Eric Matoho,Mzivukile Tom,Prince Hlela,Siyabonga Sangweni,Tefu Mashamaite,Siyanda Zwane.

Viungo: Hlompho Kekana,Thanduyise Khuboni,Reneilwe Letsholonyane,Thandani Ntshumayelo, Thabo Matlaba,Erwin Isaacs,siphiwe Tshabalala (Nahodha),Sifiso Myeni.

Washambuliaji: Bernard Parker,Vuyisile Wana,Lehlohonolo Majoro na Katlego Mphela.