WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 29 May 2011

UJERUMANI YAIFUNGA URUGUAY

Timu ya Taifa ya Ujerumani imeifunga Uruguay mabao 2-1 katika mechi ya kirafiki iliyofanyika leo jumapili,
katika mechi hio Ujerumani ilijipatia mabao yake mawili kupitia kwa Mario Gomez Andre Schuerrle wakati bao la Uruguay Gargano.

katika mechi nyingine ya kirafiki timu ya Republic of Ireland imeifunga Scotland bao 1-0 katika mechi hio ya kirafiki ambapo bao pekee la Ireland lilifungwa na Kean katika dakika ya 23'.