WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 18 June 2011

YUNUSS AONGOZA UFUNGAJI COPA COCA COLA.(Yunuss Benard wa kwanza pichani juu"jezi nyekundu"akiwa na O.F.A) pichani chini akishikilia kombe la siku ya Mazingira duniani walilolitwaa wiki iliyopita.................................................

Mshambuliaji hatari anaetisha kwa ufungaji wa Oranje Football Academy Yunuss Benard jana alizidisha kuwaadhibu wapinzani baada ya kupachika tena mabao 2 kati ya 4 ambayo mkoa wa Mjini Magharibi iliichapa mkoa wa Tabora katika mashindano ya copa coca Cola U17 yanayoendelea jijini Dar.
Nyota huyo kinda ambae sasa ameaonyesha kiu yake na hata kumtishia kuchukua uogozi wa kutundika mabao wa nyota mwingine hatari wa timu ya Taifa ya Vijana ya Tanzania U17 Seif Abdalla "karihe" ambapo itamfanya "karihe" aitayarishe vya kutosha kutokana na mwenendo wa kasi Yunuss Bendard ambae amewasha silinda zote katika michuano hio inayoendelea.