WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 18 June 2011

U20 KUTIMUA VUMBI KESHO

Oranje Football academy U20 kesho watajitupa katika kiwanja cha Mao tse tung kupambana na timu ya Mahonda Union katika mechi ya mwisho ya ligi.
Hio itakuwa ni mechi ya mwisho kupata timu zitakazocheza katika hatua ya pili.
U20 tayari wamevuuka kwa kuingia hatua hatua ya pili hio mechi ya kesho vijana watahakikiasha wanashinda na kujiweka tayari kwa hatua ya pili ya ligi hio.
Mechi hio itachezwa huku U20 ikiwakosa nyota wake 4 ambao Dar na timu ya Mkoa wa Mjini Magharibi katika mashindano ya Copa Coca Cola.
Nyota hao ni Kiungo mkali Muhathir Yahya,mshambuliaji hatari Yunuss Benard,mlinzi imara Muhene Majid,na mlinda mlango madhubuti Abdalla Sleiman.
Pamoja na kutokuwepo nyota hao U20 haitoathirika kwani ina nyota wakali watakaoziba nafasi hio na kuhakikisha inashinda ushindi mnono katika pambano hilo la mwisho la ligi hapo kesho.