WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 7 July 2011

YUNUS NA MUDATHIR WACHAGULIWA TIMU YA TAIFA U17

NYOTA WAWILI WA KUTUMANIWA WA ORANJE fOOTBALL ACADEMY MSHAMBULIAJI YUNUS BENARD NA KIUNGO MKALI MWENYE UWEZO WA HALI YA JUU KATIKA NAFASI HIO MUDATHIR YAHYA WAMECHAGULIWA KATIKA TIMU YA TAIFA YA VIJANA YA TANZANIA U17 BAADA YA KUONYESHA UWEZO WA HALI YA JUU KATIKA MASHINANO YA COPA COCA COLA YALIMALIZIKA HIVI KARIBUNI JIJINI DAR ES SALAAM.

NYOTA HAO WAWILI WALIJIUNGA NA TIMU HIO YA TAIFA PAMOJA NA NYOTA WENGINE WALIOCHAGULIWA KUTOKA KATIKA MASHINDANO HAYO KUJIUNGA NA TIMU HIO KWA MARA YA KWANZA.
KATIKA HATUA HIO YA NYOTA HAO WA O.F.A KUCHAGULIWA KATIKA TIMU HIO YA TAIFA U17 INAFANYA IDADI YA NYOTA WA O.F.A KUWEMO KATIKA TIMU ZA TAIFA ZA VIJANA ZA TANZANIA KUWA JUMLA YA WACHEZAJI 3 AMBAPO KABLA NYOTA WA KWANZA KUCHAGULIWA KATIKA TIMU HIO NI SEIF ABDALLA "karihe" AMBA SASA YUPO KATIKA TIMU U21.
KWA NIABA YA UNGOZI WA O.F.A UNATOA PONGEZI ZA DHATI KWA NYOTA WAKE HAO 3 PIA ITAHAKIKISHA INAWAENDELEA NYOTA HAO KUCHEZEA TIMU HIZO ZA TAIFA KWA MUDA MREFU HADI KUFIKIA TAIFA KUBWA PIA KUHAKIKISHA KUWAENDELEZA NA INAZIDISHA "SUNAMI" YA NYOTA WAKE KUPATA NAFASI NYINGI ZAIDI ZA KUZIWAKILISHA TIMU ZA TAIFA NCHINI KATIKA KIPINDI KICHACHE KINACHOFATIA.