WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 18 September 2011

LIGI:U20 YAICHAPA BZL 5-0

Oranje Football academy U20 imemaliza ligi ya hatua ya makundi baada ya kuichakaza BZL ya Kiwengwa jumla ya mabao 5-0 katika mechi iliyochezwa kwenye uwanje wa Mgambo.
Hatua ya nne bora itaanza hapo siku ya jumanne kwa pambano kati ya O.F.A vs Bungi katika kiwanja cha Fuoni, wakati Fair Maunt itacheza dhidi ya Leeds United katika uwanja wa mao tse tung.

U20 O.F.A watajitupa tena kiwanjani siku ya alhamis dhidi ya Fair Maunt pambano litakalofanyika katika uwanje wa mao tse tung,wakati Leeds United itakuwa katika uwanja wa Fuoni dhidi ya Bungi.

Jumamosi Leeds United vs O.F.A katika uwanja wa mao tse tung wakati Bungi itakwaruzana na Fair Maunt katika kiwanja cha fuoni.

Mechi zote zitachezwa saa 10 jioni.