WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 27 September 2011

ORANJE FOOTBALL ACADEMY MABINGWA U20

ORANJE FOOTBALL ACADEMY U20 JANA ILITWAA UBINGWA WA SOKA WA VIJANA U20 KATIKA PAMBANO GUMU DHIDI YA LEEDS UNITED O.F.A U20 ILIICHAPA LEEDS UNITED MABAO 2-1 KATIKA PAMBANO HILO.

Hilo ilikuwa ni pambano la mwisho katika 4 bora kanda ya Unguja ambapo U20 hao wa O.f.a kutwaa ubingwa huo ambapo sasa ipo katika mipango ya kusafiri kuelekea pemba katika hatua ya mwisho ya kumtafuta bingwa wa Zanzibar msimu huu 2011.

Kwa niaba ya uongozi,wachezaji na wapenzi wa O.F.A kwa pamoja wanatoa pongezi kwa kazi nzuri waliyoshirikiana kuweza kutwaa ubingwa huo.