WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 8 October 2011

U20 YAANZA MICHUANO KWA USHINDI 1-0.

Oranje Football Academy U20 leo jioni wameanza vizuri michuano ya hatua ya fainali ya 4 bora kumpata bingwa wa soka wa Zanzibar baada ya kuifunga timu ngumu ya Fairmaunt Academy bao 1-0 katika pambano lililochezwa katika kiwanja cha Polisi madungu chake chake -Pemba.

katika michuano hiyo O.F.A U20 ni mabingwa wakati Fairmaunt ni washindi wa pili wa Unguja ambapo timu mbili kutoka Pemba ni Okapi na Children soka Stars ambapo ligi hio ya 4 bora itamtoa bingwa wa zanzibar msimu huu 2011.
O.F.A watajitupa tena katika kiwanja cha Polisi Madungu hapo kesho kupambana na Children soka stars ya Pemba pambano ambalo litachezwa saa 8 mchana.
siku ya jumatatu U20 itajitupa katika uwanja wa Gombani saa 10 jioni kupambana na Okapi ya Pemba.