WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 10 October 2011

LIGI U20: O.F.A YAWACHAPA WATOTO 2-1.

O.F.A U20 jana walizidisha kuzikandamiza timu zinazoshiriki fainali za 4 bora za kumpata bingwa wa soka wa Zanzibar michuano inayoendelea kisiwani Pemba baada ya kuifunga children soka Stars ya Pemba mabao 2-1 katika pambano lililofanyika katika kiwanja cha Polisi madungu.
Nyota wa U20 Mzee Kheri alipokea zawadi mara baada ya pambano hilo kwa kuteuliwa kuwa "man of the match" kutoka na uwezo mkubwa aliouonyesha katika pambano hilo.