WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 10 October 2011

ORANJE FOOTBALL ACADEMY MABINGWA WA ZANZIBAR

ORANJE FOOTBALL ACADEMY LEO IMETWAA UBINGWA WA SOKA WA ZANZIBAR U20 BAADA YA KUIPONDAPONDA OKAPI JUMLA YA MABAO 7-0 KATIKA PAMBANO LA FAINALI LILILOFANYIKA KATIKA UWANJA MKUBWA WA KISASA WA GOMBANI ULIOPO MJINI CHAKECHAKE PEMBA.

NYOTA HAO WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY WALIUTUMIA UWANJA HUO WA KISASA WENYE NYASI BANDIA ZENYE KIWANGO CHA FIFA KUTANDANDA SOKA LA HALI YA JUU KUTOKANA NA KUKOSA NYASI KAMA HIZO MUDA MREFU CHA KUWEZA KUONYESHA UWEZO WAO WA KUSAKATA SOKA LA KISASA.

KABLA YA PAMBANO HILO VIJANA HAO WA U20 WALIJITUPA KIWANJANI WAKIHITAJIA POINT MOJA ILI KUWEZA KUTAWAZWA KUWA MABINGWA WA ZANZIBAR KWA MSIMU HUU 2011 AMBAPO HII NI MARA YA KWANZA KWA VIJANA HAO WADOGO KUSHIRIKI MICHUANO HIO, MSIMU ULIOPITA NYOTA HAO WALITOKEA KATIKA U17 PIA WALITWAA UBINGWA HUO WA U17 2010.

MSHAMBULIAJI WA MKALI U20 AMBAE PIA NI MSHAMBULIAJI WA KUTUMANIWA WA TIMU YA TAIFA YA VIJANA YA TANZANIA U17 YUNUSS BENARD ALICHAGULIWA KUWA MFUNGAJI BORA WA MASHINDANO HAYO BAADA YA KUMALIZA MASHINDANO KWA KUPACHIKA MABAO 5 KATIKA MECHI NNE AMBAZO VIJANA HAO WALICHEZA.

KWA NIABA YA VIONGOZI WOTE,WAPENZI NA MASHABIKI WA O.F.A WANATOA PONGEZI ZA DHATI KWA NJOTA HAO KWA KUANDIKA HISTORIA MPYA YA SOKA KATIKA KITUO HICHO CHA KUKUZA SOKA KWA VIJANA NCHINI.