WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 16 October 2011

O.F.A VS BERNE-SWITZALAND SELECTION.PAMBANO LA KIRAFIKI LA KIMATAIFA.

MABINGWA WA SOKA WA ZANZIBAR U20 ORANJE FOOTBALL ACADEMY KESHO JUMATATU TAREHE 17/10/2011 WATAJITUPA KATIKA UWANJA WA MAO TSE TUNG KUPAMBANA NA TIMU YA WACHEZAJI WA SOKA WA ZAMANI WA KULIPWA KUTOKA NCHINI ZWITZALAND ''ETAGE SELECTION OF BERNE''.
PAMBANO HILO LITAWASHIRIKISHA WACHEZAJI KUTOKA JIJI LA BERNE NCHINI ZWITZALAND AMBAPO KATIKA KIKOSI HICHO CHA WACHEZAJI WA ZAMANI WA SOKA WA KULIPWA WAPO WACHEZAJI WALIOWAHI KUICHEZEA TIMU YA TAIFA YA SWITZALAND AMBAO WAMEWAHI KUKUMBANA NA NYOTA KADHAA WA BARA LA ULAYA NA DUNIANI KATIKA MICHUANO MBALI MBALI PAMOJA NA MECHI ZA KIRAFIKI ZA KIMATAIFA.
HII ITAKUWA NI NAFASI KUBWA KWA NYOTA WETU WA O.F.A WANAOCHIPUKIA KWA KASI KUBWA KATIKA SOKA KUWEZA KUSOMA BAADHI YA MBINU ZA SOKA KUTOKA KWA WAZOEFU HAO KUTOKA BARANI ULAYA.
WAKIWA NCHINI SELECTION HIO KUTOKA BERNE-ZWITZALAND WATACHEZA PIA NA TIMU YA SOKA YA TAIFA YA VIJANA YA ZANZIBAR PAMOJA NA TIMU YA TAIFA YA WACHEZAJI WA ZAMANI WA ZANZIBAR.
TUNAWATAKIA KILA LA KHERI MABINGWA WETU WA U20 KUWEZA KUTOA BURUDANI SAFI NA KUSHINDA PAMBANO HILO LA KWANZA LA KIRAFIKI LA KIMATAIFA TOKEA KUTWAA UBINGWA WIKI ILIYOPITA.