WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 26 January 2012

BARÇA 2-2 MADRID COPA DEL REY

Barçelona na Real Madrid jana zilifungana mabao 2-2 katika pambano la marejeano la robo fainali la Copa Del Rey lililofanyika katika uwanja wa Camp Nou.
Barçelona waliandika mabao yote mawili dakika 5 za mwisho za kipindi cha kwanza mabao yaliyofungwa na Pedro katika dakika ya 43 na Dani Alves dakika ya 45 wakati Real Madrid walioonekana kuwa makini zaidi katika pambano hilo kuliko pambano lake la kwanza lililofanyika katika uwanja wao Santiago Bernabeu wiki iliyopita waliweza kujibu mapigo baada ya kurejesha mabao hayo mawili katika dakika ya 68 kwa bao lililofungwa na Cristiano Ronaldo na Karim Benzema katika dakika ya 72.
Kutokana na matokeo hayo Madrid imetolewa katika kutetea kombe hilo ambalo ililitwaa mwaka jana baada ya kuifunga Barçelona 1-0 katika mechi ya Fainali,Barçelona sasa itapambana nusu fainali na mshindi kati ya Levante na Valencia