WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 26 January 2012

LIVERPOOL YATINGA FAINALI

Liverpool pamoja na kutoendelea na mwendo mzuri katika ligi kuu ya Barclay Primier League inaonekana kuwa makini zaidi katika makombe mengine ambapo imeingia fainali ya Carling cup baada ya kutoka sare na Manchester City 2-2 katika uwanja wa Enfield.
Liverpool imeingia fainali hizo baada ya kunufaika na ushindi wa 1-0 ilioupata baada ya kuifunga City nyumbani kwao katika pambano la kwanza la nusu fainali,kutokana na ushindi huo Liverpool imeingia Fainali kwa jumla ya mabao 3-2 ambapo watapambana na Cardiff City katika uwanja wa Wembley.
Mabao ya Liverpool yalifungwa na Gerald kwa penalti katika dakika ya 40 na Bellamy katika dakika ya 74 na Citizen walifunga mabao yao kupitia kwa De Jong dakika ya 31 na Dzeko dakika ya 67.