WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday 26 January 2012

LA CELEBRACIÓN EN GUINEA EQUETORIAL

Sherehe kubwa kwa mara ya kwanza kutokea katika historia ya nchi ya Equetorial guinea katika soka mara baada ya nchi hio leo kuitoa nje ya mashindano Senegal baada ya kuifunga jumla ya mabao 2-1 katika pambano gumu la michuano ya Africa Cup Of Nations.
Wakicheza kwa moyo mmoja,juhudi na ufundi wote wachezaji wa Equetorial Guinea wameweza kuitupa nje Senegal katika michuano hiyo hata kama watashinda pambano lao la mwisho dhidi ya Libya.
shujaa wa pambano hilo kwa upande wa Equetorial Guinea alikuwa ni Alvarez aliepiga mkwaju mkali uliokwenda moja kwa moja golini katika dakika ya 90 ya mchezo na hivyo kuisukuma nchi yake katika hatua ya pili ya mashindano hayo na kuwa nchi ya kwanza kusonga mbele katika michuano hio mikubwa ya barani Africa.
Randy aliipatia Equetorial Guinea bao la kwanza katika dakika ya 62 kabla ya Musa Sow wa Senegal kusawazisha katika dakika ya 89 kabla ya Alvarez dakika ya 90 kuwapigilia Senegal msumari wa moto na kuyaaga mashindano hayo ambapo kutaleta mpasuko mkubwa ndani ya kambi ya nchi.Musa Sow,Demba Ba,Demba Cisse,Mamadou Niyang,Dia na N'doye wote hawakuweza kupewa nafasi na ukuta mgumu wa Equetorial Guinea hivyo kuigharimu nchi hio kyaaga mashindano ya mwaka huu 2012.
..............
Pambano la Awali la kundi hilo A lilimalizika kwa Libya 2-2 Zambia.
mabao yote ya Libya yalifungwa na Osman katika dakika ya 5 na 47 wakati yale ya Zambia yalifungwa na Mayuka katika dakika ya 29 naKatongo katika dakika ya 54.
............
O.F.A inawaomba viongozi ,makocha na wataalamu wa soka nchini kuziangalia jinsi nchi na mashindano hayo yanavyokwenda ili wawachambue wachezaji na nchi hizo pamoja na kusoma michezo mbalimbali ili kuweza kulisaidia taifa kuweza kujipanga vizuri katika michuano ijayo,
pia kuna haja ya kuangalia jinsi vipaji vya wenzetu na kuangalia vijana wetu wenye umri mdogo wanaolingana na vipaji hivyo ili viweze kuwakomboa waTanzania katika soka.