WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 30 January 2012

CAN 2012 ROBO FAINALI CECAFA VS COSAFA

Sudan imeingia katika hatua ya robo fainali baada ya kuifunga Bukina Faso jumla ya mabao 2-1,
Katika pambano jingine Ivory coast imeichapa Angola kwa mabao 2-0 hivyo Sudan kusonga mbele kwa kuwa na idadi sawa ya point nne kila moja kati yake na Angola huku ikiziidi Angola kwa bao moja zaidi. Mabao ya Sudan yalifungwa na Mudather katika dakika za 33 na 80 na lile la Bukina faso lilifungwa na Dagano katika dakika ya 90.Mabao ya Ivory Coast yalifungwa na Eboué dakika ya 33 na Bony dakika ya 64.
Angola na Bukina Faso zimeyaaga mashindano wakati Ivory Coast sasa itachuana na wenyeji Equetorial Guinea na Sudan wawakilishi pekee wa Cecafa watakapochuana na wawakilishi wa Cosafa Zambia ambao pia ni wawakilishi pekee waliobakia kuvuuka katika hatua hio ya robo fainali wakati Botswana iliyobakiwa na mechi moja ikiwa haina matumaini yoyote ya kusonga mbele baada ya kufungwa mechi zao mbili za awali.