WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 30 January 2012

SENEGAL YAREJEA NYUMBANI BILA POINT MOJA

Zambia imetinga katika hatua ya Robo fainali ya Africa Nations Cup 2012 baada ya kuwafunga wenyeji washirika wa mashindano hayo Equetorial Guinea kwa bao 1-0 bao lililofungwa na nahodha wao Katongo katika dakika ya 67 hivyo Zambia wameingia hatua ya robo fainali kwa kuwa mshindi wa kwanza wa kundi hilo hivyo kuepuka kukutana na Ivory Coast ambayo sasa watakumbana na washindi wa pili Equetorial Guinea.

Senegal imeyaaga mashindano hayo ya Can 2012 kinyume na matarajio yao ya kutwaa Ubingwa pamoja na kuwa na kikosi kizito walichokipeleka katika mashindano hayo.
Libya 2-1 Senegal mabao yote ya Libya yalipachikwa na Albosefe katika za 5 na 84 bao la kufutia machozi la Senegal lilifungwa na N'Diaye dakika ya 11
Senegal imeyaaga mashindano na kurudi nyumbani bila hata ya kuwa na point moja baada ya kufungwa mechi zote tatu walizocheza.