WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 23 January 2012

GABON YAANZA VIZURI KUIWAKILISHA NCHI

Gabon wakicheza pambano lao la kwanza la Orange Can Nations Cup 2012 kama waandaaji washirika wa Equetorial Guinea wakicheza mbele ya Mashabiki na Rais wao wameweza kuichapa Niger kwa mabao 2-0 katika pambano la awali la kundi C.
Mabao ya Gabon yalipachikwa na Aubameyang "Neymar wa nchi hio" katika dakika ya 30' na Moubamba katika dakika 45'.
Pambano jingine la kundi hilo linalosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka barani Africa ni kati ya Morocco na Tunisia mahasimu wakubwa katika soka barani Africa ambapo katika mashindano ya vilabu nchi hizo mbili zilitoa timu zote nne zilizoshiriki katika fainali za mwaka huu za makombe mawili makubwa ambapo nchi hizo ziligawana makombe hayo kombe la mabingwa wa africa kwenda Tunisia na lile la Washindi wa bara kwenda Morocco.
kutokana na ushindi wa Gabon inaifanya nchi hio kuongoza kundi hilo huku ikisubiri kusikia matokeo kutoka kwa wapinzani wao hapo baadae leo.