WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 25 January 2012

GHANA 1-0 BOTSWANA, MALI 1-0 GUINEA

Ghana na Mali zimejiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele katika michuano ya CAN 2012 baada ya zote kushinda Bao 1-0 katika mechi za kundi D.
Ghana ilijipatia bao lake dhidi ya Botswana katika dakika ya 25' bao lililofungwa na Mensah ambaye hata hivyo alionywesha kadi nyekundu katika dakika ya 66 kutokana na mchezo mchafu.
Katika pambano jingine la kuvutia la wapinzani wakubwa kati ya Mali na Guinea lililokamilisha ratiba za mechi za awali za makundi yote 4 iliishia kwa ushindi wa bao 1-0 kwa Mali iliyocheza soka ya kujiamini kabisa kwa kutumia pasi fupi fupi na za uhakika huku Guinea ikingára kwa pasi za wastani na ushambuliaji wa kasi na haraka zaidi ambapo nchi hizo zililingana kwa kwa asilimia ya kutawala mchezo huo hadi kufikia mwisho wa pambano hilo.
Bao la Mali lilifungwa kwa mkwaju mkali nje ya sanduku la hatari kwa bao lililofungwa na Traore katika dakika ya 30.
Kutokana na matokeo hayo Ghana na Mali zinaongoza kundi hilo kwa kuwa na point na mabao sawa,huku Botswana na Guinea zikiwa pia sawa bila ya point wala bao la kufunga huku timu zote 4 zikiwa bado na nafasi za kusonga mbele katika michuano hio.