WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 24 January 2012

MALULEKA WA AJAX CAPETOWN AANZA MAZOEZI NA AJAX AMSTERDAM NA WENGINE 3 KUFATIA

(Thato kama kawaida yake akiwa uwanjani)
........................................................................................................................

(Mlinzi Nyota Nazeer Allie katika mechi)
........................................................................................................................

(Khama Billiat akiwa mazoezini)

........................................................................................................................

(Maluleka akiwa katika mechi ya Ajax Capetown)

........................................................................................................................

George Maluleka nyota kiungo wa timu Ajax Capetown leo ameanza mazoezi rasmi ya wiki moja na Mabingwa wa Holland Ajax Amsterdam ambao ndio Wamiliki na ndugu wa timu hiyo kutoka katika mji wa Cape Town nchini South Africa.

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 23 ameruhusiwa leo asubuhi na kocha wa Ajax Amsterdam Frank De Boer kuchanganyika rasmi na kikosi cha kwanza cha Mabingwa hao ili aweze kuonyesha uwezo wake ambao utamwezesha kumpatia nafasi nyota huyo kubakia na mabingwa hao.Makinda mengine 3 Nazeer Allie Beki wa kutumainiwa wa timu taifa ya U20 ya Bafana Bafana pamoja na Ajax CapeTown atawasili mjini Amsterdam wakati wowte wiki hii alichelewa kutokana majeraha aliyoyapata na timu ya Bafana Bafana akiwa kambini huku Khama Billiat na Thato Mokeke wanaendelea na matibabu ya mwisho kujiunga na Ajax Amterdam pia kwa mazoezi ya wiki moja ili nyota hao waonyeshe makali yao.

Maluleke ambae amejiunga na Ajax Capetown miaka 3 iliyopita akitokea Supersports United pamoja na nyota wenzake 3 wataonyesha vitu vyao jijini Amsterdam kama walivyofanya kaka zao Benny McCarthy,Steven Piener,Eyang Enoh na wengineo.