WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 29 January 2012

GHANA 2-0 MALI,GUINEA YAICHABANGA BOTWANA 6-1

Ghana imejiweka katika nafasi nzuri ya kucheza hatua ya robo fainali ya michuano ya CAN 2012 baada ya kuifunga Mali mabao 2-0 hivyo kujikusanyia jumala ya point 6 katika mechi mbili ilizocheza.Mabao ya Ghana yalifungwa na Gyan katika dakika ya 63 na Ayew 76.

Katika pambano jingine Guinea imeichabanga bila hunuma Botswana jumala ya mabao 6-1 katika uwanja wa Franceville,
mabao ya Guinea yalifungwa na
Diallo 15,27,
Camara 42,
Traore 45,
Bah 84,
Soumah Kalabane 86.
Bao pekee la Botswana amabo tayari wameyaaga mashindano baada ya kupoteza mechi zote mbili lilifungwa na Selolwane katika dakika ya 23 kwa njia ya penalti.
Ghana wamejiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele baada ya kuwa na point 6,Guinea yenye point 3 na Mali point 3 na zote tatu zinauwezo wa kufikisha point 6 ambazo tayari zimefikiwa na Ghana hivyo kulifanya kundi hilo kusubiri hadi mechi ya mwisho kujua ni timu gani itasonga mbele hatua ya robo fainali.