WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 28 January 2012

LIVERPOOL 2-1 MANCHESTER UNITED FA CUP

Liverpool imeingia katika raundi ya 5 ya FA cup maada yawafunga mahasimu wao wakubwa Manchester United kwa mabao 2-1. Agger aliipatia Liverpool bao la kwanza katika dakika ya 21 na Manchester walisawazisha bao hilo kwa bao lililofungwa na Park katika dakika ya 39 Kuyt iliipatia Liverpool bao la ushindi katika dakika ya 88 hivyo kuifanya "The Reds"kuzitupa timu zote mbili za Manchester "the citizen na Red Devils"nje mashindano ya Carling cup na FA cup ndani ya wiki moja.

katika pambano jingine la FA Chelsea imesonga mbele baada ya kuifunga Queens Park Rangers bao 1-0 bao lililofungwa na Mata kwa njia ya penalti katika dakika ya 69.

Tottenham 1-0 Watford Van Der Vaart alipachika bao hilo katika dakika 42,
Evertoon 2-1 Fulham mabao ya Evertoon yalifungwa na Stracqualursi katika dakika ya 27 na Fellaini katika dakika ya 73 wakati Murphy aliipachikia Fulham bao pekee kwa njia ya tuta katika dakika ya 14.