WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 27 January 2012

MILAN YATINGA NUSU FAINALI COPPA ITALIA

Ac Milan imeingia nusu fainali ya Coppa Italia baada ya kuifunga Lazio Roma jumla ya mabao 3-1.Cissé alianza kuifungia Lazio bao la kwanza katika dakika ya 5 kabla ya Milan kuamka na kuanza kurejesha bao hilo.
Mabao ya Milan yalifungwa na Robinho katika dakika ya 15,Seedorf dakika ya 18 na Ibrahimovic katika dakika ya 84.Ac Milan itakumbana na Juventus katika pambano la nusu fainali baada ya Juve kuitoa A.S Roma nje ya michuano hio .