WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 27 January 2012

VALENCIA VS BARÇELONA COPA DEL REY

Valencia imeingia Nusu fainali ya Copa Del Rey la Spain baada kuichapa Levante kwa jumla ya mabao 3-0 katika pambano lililofanyika katika uwanja wa Levante wa Ciudad de Valencia.
Levante ambao ni wapinzani wa Valencia walio katika mji mmoja wa Valencia imetupwa nje ya michuano hio baada ya Valencia kushinda jumla ya mabao 7-1 katika mechi zote mbili.
mabao ya jana ya Valencia yalipachikwa na Adúriz 25 na Piatti 30, 85.
Kutokana na ushindi huo Valencia sasa itacheza na F.c Barçelona katika mechi ya nusu fainali.