WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday 27 January 2012

ORANJE FOOTBALL ACADEMY YAENDELEA NA MAZOEZI

Oranje Football Academy iko katika mazoezi kujiandaa na ligi ambayo inatarajiwa kuanza hivi karibuni katika maandali yake imecheza mechi mbili za kirafiki mechi ya kwanza dhidi ya timu ya Shangani daraja la Junior katika kiwanja chao cha Shangani maeneo ya mnazi mmoja ambapo Shangani ilishinda magoli 2 - 1.
Mechi ya pili Dhidi Kikwajuni kwa wakubwa wa O.F.A mechi iliyofanyika katika kiwanja cha Kikwajuni ambapo O.F.A ilishinda jumla ya mabao 3 - 1 vijana wa O.F.A wanaendelea na mazoezi kama kawaida.
Wale Nyota 6 wa Oranje Football Academy katika timu ya taifa ya vijana ya Zanzibar chini ya umri wa miaka 17 waliondoka Jumaatano ya 25.01.2012 kwenda Dar kwaajili ya mechi 3 za timu B za vilabu vya Vodafone Primier League ziara ambayo ilikuwa ifanyike mwezi december mwaka jana lakini ikahairishwa kutokana na Mvua kubwa zilizokuwa zikinyesha katika mji wa Dar Es Salaam na kusababisha maafa pamoja nauharibu mkubwa wa mali.
......................................................................................................................
hii hapa ni marejeo ya habari za safari hio iliyokuwa ifanyike mwezi dec mwaka jana.

NYOTA 6 WA O.F.A KWENDA DAR NA TIMU YA U17 YA ZANZIBAR
Nyota 6 wa Orange Football Academy wameitwa katika timu ya Zanzibar ya Wachezaji Mchanganyiko wa timu za Central League wenye umri wa miaka 17 ambapo wanatarajiwa kwenda Dar Es Salaam kupambana na timu B za vilabu vya Vodacom Primier Leuague katika mechi za kirafiki zitakazofanyika katika uwanja wa Uhuru.Vyota hao wa kutegemewa wa O.F.A ni pamoja na nahodha Muhene Majid,Yunus Bernad,Ali Hilal,Salum Ahmed,Abdalla Sleiman na mchezaji bora wa mwaka 2011 wa O.F.A Mzee Kheri,Wakiwa Dar Es Salaam timu hio mchanganyiko itajitupa kiwanjani kuanza mechi yao ya kwanza na Simba ambao ni Mabingwa wa Msimu huu wa Uhai Cup 2011,mapambano mengine yatafuatiwa na Yanga Youth Team, Azam Academy na Rangers.Msafara huo utaongozwa na katibu mkuu wa Central League Taifa Abdalla Thabit"Dula Sunday",Simai Vuai,Odero,Abdi Shagaa na Ramadhan Madundo.
........................................................................................................................

Wakati huohuo Makundi ya ligi ya imetangazwa na timu ambazo zitakuwa katika kundi moja na Oranje Football Academy ambazo zitakuwa katika kundi A ni
Leeds,Mwambao,
P Z L,Benfica,
Idumu, Al hapa,
Kivumbi, Kongeni na Msumbiji.
Ligi inatarajiwa kuanza mapema mwezi wa februari.