WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 18 February 2012

CHIPUKIZI WAWILI WAKIWA VIWANJANI WIKI HII

Dogo Son Heung Min akiwa Banch akifatilia kwa makini moja katika mapambano ya ligi ya timu yake Hamburg SV ilipokuwa ikichezea nyumbani.
......................................................................................................................................

Chipukizi Son katika pambano la ugenini na timu yake ya Hamburg SV
.......................................................................................................................................

Son akiwa katika moja ya mapambano ya timu ya Hamgurg SV ya Ujerumani walipokuwa wakicheza chumbani
......................................................................................................................................

Luc Castaignos akiwa na shirt ya waajiri wake wapya Inter ambao alijiunga nao msimu uliopita

huku akizikacha timu kubwa za England na Spain ambapo alikwenda kufanya nao mazungumzo na kuamua kujiunga na Inter Milan.
........................................................................................................................................

Castaignos alipokuwa na shirt ya Feyanoord Rotterdam ya Holland

.......................................................................................................................................

Luc Castaignos katika mapambano ya Inter hapo ikwa dhidi ya Celtics Glasgow

.....................................................................................................................................

Katika mechi za ligi za wiki hii barani ulaya chipukizi wawili Luc Castaignos anaechezea timu ya Inter Milan akitokea katika timu ya Feyanoord ya Rotterdam na Son Heung Min aliingia katika kipindi cha pili kuziwakilisha timu zao katika ligi za nchi hizo.

Son Heung Min ambae anachezea timu ya Taifa ya South Korea mwenye umri wa miaka 19 aliweza kuingia katika kipindi cha pili kuisaidia timu yake ya Hamburg SV ya Ujerumani katika pambano la ligi dhidi ya Wader Bremen,katika pambano hilo Bremen walishinda mabao 2-1.

Luc Castaignos pia mwenye umri wa miaka 19 ambae anachezea timu ya Taifa ya Holland U20 pia amewahi kuitwa katika timu ya Taifa ya Wakubwa wa nchi hio ambae pia ni mfungaji bora wa U17 ya Holland "all the time top scorer u17" aliingia katika kipindi cha pili kusaidia jahazi la waliokuwa wakicheza katika uwanja wa nyumbani Inter Milan hata hivyo jahazi hilo la Inter lilizama baada ya kuchapwa bao 0-3 dhidi ya Bologna.