WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 18 February 2012

JEVENTUS YAMTWAA KIUNGO KINDA WA AJAX

YOSSO WA TIMU YA TAIFA YA HOLLAND U19 NA TIMU YA AJAX AMSTERDAM ACADEMY ATWALIWA JUVENTUS.
......................................................................................................................................

Nahodha wa timu ya Ajax Amsterdam academy akinyanyua kombe la Ubingwa wa AEGON FUTURE CUP 2011 baada ya kuzichapa Barçelona 2-0, China U17 mabao 4-0, Liverpool 1-0.


kabla ya kuifunga A.c Milan waliokuwa katika kundi jingine katika pambano la fainali.Nahodha Yosso Ouasim Bouy akishikilia kombe la ubingwa huo.
.......................................................................................................................................

Ajax Academy U17 dhidi ya F.c Barçelona katika mashindano ya AEGON FUTURE CUP wadhamini wa Ajax Amserdam waandaaji wa mashindano hayo ya vilabu kutoka mabara yote duniani yanayoshirikisha timu za vijana za vilabu mbambali vya mabara hayo na kufanyika kila mwaka. (pichani Ouasim Bouy 8 nahodha wa Ajax akiwania mpira huku kiungo mkali wa Jessua Angoy Cruijff 14 mjukuu wa nahodha wa Zamani wa timu ya Taifa ya Holland,Ajax na Barçelona akijaribu kuutoa mpira huo kwa mguu katika pambano la mashindano hayo ambapo Ajax Amsterdam ilishinda kwa mabao 2-0.(Jessua Angoy Cruijff wa f.c Barçelona nu mjukuu wa Legend wa zamani Johan Cruijff nahodha wa zamani wa Holland)
.....................................................................................................................................

Yosso wa Ajax wakishangilia ushindi wa Super Cup ya Vijana wa Holland dhidi ya wapinzani wao wakubwa Feyanoord ya mji wa Rotterdam baada ya kushinda fainali mabao 2-1. Ouasim Bouy (a kwanza kulia pichani)
......................................................................................................................................

Nahodha wa Ajax Amsterdam Academy Bouy dhidi ya Tottenham Hotspurs.
................................................................................................................

Miamba Juventus ya Turin Italia imemsajili Kinda Ouasim Bouy miaka 18 kutoka katika timu ya Ajax Amsterdam Academy ambae anachezea katika timu ya Taifa ya Holland U19.

Kinda huyo mwenye asili ya Morocco ambae amezaliwa nchini Holland ni mmoja katika Nyota kadhaa Vijana wa soka wenye kizichanganya timu kubwa kadhaa kutokana na uwezo wake mkubwa wa kisoka katika nafasi ya kiungo mshambuliaji.

Yosso huyo ambae bado hakupandishwa katika timu kubwa ya Ajax Amsterdam A kutokana na timu hio kuwa na vijana nyota kwa kila wizara za Academy zake kuanzia umri wa miaka 8 hadi 22 mbali academy zake na timu kubwa ya Ajax Capetown ya Afrika Kusini ambayo pia ndio wamiliki wa timu hio.